Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria, anazungumzia kwa kina mabadiliko mapya ya sheria ya uchaguzi yanayolenga kuboresha mfumo wa uchaguzi nchini Tanzania.
Katika video hii, utajifunza:
✅ Sababu za kufanyika kwa mabadiliko haya
✅ Vipengele gani vya sheria vimeboreshwa
✅ Athari kwa vyama vya siasa, wagombea, na wapiga kura
✅ Kauli ya Serikali kuhusu mustakabali wa uchaguzi huru na wa haki
🔔 Usisahau kusubscribe ili kupata taarifa zaidi za kisiasa, kijamii na kimaendeleo.
👍 Like, 💬 Toa maoni, na 📤 Share kwa wengine.
#Uchaguzi #SheriaYaUchaguzi #Ndumbaro #Tanzania #HabariZaLeo