Skip to main content

MAELEKEZO YA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA BAADA YA KUSIKILIZA KILIO CHA MZEE HUYU

Submitted by admin on 18 April 2025

Katika video hii ya kusisimua na yenye mguso wa kipekee, tazama jinsi Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, alivyosikiliza kwa makini kilio cha mzee mmoja aliyejitokeza kuomba msaada wa kisheria. Baada ya kusikiliza kwa huruma na umakini mkubwa, Waziri alitoa maelekezo ya haraka kwa vyombo husika kuhakikisha haki inapatikana.  

🛡️ Hii ni sehemu ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, inayolenga kuhakikisha kila Mtanzania anapata haki bila ubaguzi.  

📍 Tazama hadi mwisho ujifunze namna Serikali ya Awamu ya Sita inavyosikiliza wananchi moja kwa moja na kutatua changamoto zao.  

🔔 Subscribe, like na share kuhakikisha ujumbe huu unamfikia kila Mtanzania.  

#MamaSamiaLegalAidCampaign #MsaadaWaKisheria #DktNdumbaro #HakiKwaWote #MSLAC #ChanyATV