Skip to main content

MAKALA MAALUMU YA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA

Submitted by admin on 15 July 2025

Katika video hii, tunakuletea simulizi halisi kutoka kwa wananchi walioguswa moja kwa moja na kampeni hii ya kitaifa inayolenga kuhakikisha kila Mtanzania anapata haki yake kwa wakati, bila ubaguzi wala gharama.

Kampeni hii imekuwa mwanga kwa maelfu ya wananchi katika mikoa mbalimbali, ikileta msaada wa kisheria bure, ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wanasheria, na ufahamu wa haki za msingi za wananchi katika maeneo ya ardhi, ndoa, mirathi, ajira, na mengine mengi.

🟢 Je, unajua haki zako?

🟢 Je, umewahi kunyimwa haki kwa sababu ya kukosa uwezo wa kupata wakili?

Tazama makala hii na ujifunze jinsi serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria inavyowafikia wananchi moja kwa moja hadi vijijini, kuhakikisha hakuna anayesalia nyuma kwenye upatikanaji wa haki.

🔔 Subscribe kwa channel yetu kupata makala nyingine za kijamii na kielimu

👍 Like na Share ili ujumbe huu uwafikie wengi

📩 Tuandikie maoni yako – tunapenda kusikia kutoka kwako!

#MsaadaWaKisheria #MamaSamia #HakiKwaWote #LegalAidTZ #KampeniYaHaki #KatibaNaSheria #TanzaniaYetu #ElimuYaSheria