Skip to main content

Malengo ya Kampeni

Submitted by admin on 11 December 2024

Kuhamasisha Haki za Kikatiba: Kuwapa wananchi elimu kuhusu haki zao za msingi zilizoainishwa katika Katiba na sheria za nchi. Kuongeza Ufikiaji wa Haki: Kuwezesha watu wenye changamoto za kiuchumi na kijiografia kupata msaada wa kisheria kwa urahisi. Kujenga Uelewa wa Sheria: Kufanya elimu ya kisheria kuwa sehemu ya maisha ya kila Mtanzania ili kupunguza migogoro isiyo ya lazima

Image