Skip to main content

MAMA SAMIA AMETUFUNGULIA MLANGO WA HAKI – NI JUKUMU LETU KUUPITIA KWA NGUVU NA MATUMAINI

Submitted by admin on 14 April 2025

Kauli yenye uzito toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Hajat Fatma Mwassa, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia tarehe 14 Aprili 2025.

Katika hotuba yake, Mhe. Fatma Mwassa amesisitiza umuhimu wa kampeni hii katika kuwafikia wananchi wa kawaida, na kuleta mwamko mpya wa haki, usawa na maendeleo. Kampeni hii inalenga kutoa elimu ya sheria, msaada wa bure wa kisheria, na kutatua migogoro kwa njia za amani.

🎯 Kampeni: Mama Samia Legal Aid Campaign 

📍Mahali: Kagera – Uwanja wa Uhuru (Mashujaa) 

🤝 Kauli mbiu: Haki kwa Wote, si kwa Wachache Pekee!

🎥 Tazama video hii ujionee jinsi mlango wa haki unavyofunguliwa kwa kila Mtanzania.  

🔔 Usisahau kusubscribe, kupenda (like), na kushiriki (share) ujumbe huu kwa jamii yako!

#MamaSamiaLegalAidCampaign #HakiKwaWote #FatmaMwassa #MSLAC #Kagera #SioNdotoTena #TanzaniaMbele