Maafisa maendeleo ya jamii halmashauri ya wilaya ya bagamoyo wameshiri kikao kati ya viongozi wa Azam bagamoyo sugar na wananchi wanaoishi karibu na kiwanda hicho ambapo tulitoa elimu kuhusu ukatili wa kijinsia ,haki za binadamu na mirathi.
@samia_suluhu_hassan @kassim_m_majaliwa
@hakingowinews @katibanasheria_ #sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #samiasuluhu #ssh #sisinitanzaniamakini #sisinitanzania #tanzaniabora #millardayo #updates #news #habari #habarimpya