Mkaguzi Msaidizi wa Polisi wa Kanda ya Pwani, Elieza Okororo, ambaye ni Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Pwani, amemshukuru Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwepo kwa Dawati la Msaada wa Kisheria, akisisitiza kuwa hatua hiyo imeimarisha upatikanaji wa haki na ulinzi kwa wanawake na watoto katika mkoa huo.
#mslac #sisinitanzania #katibanasheria #ssh #ccm #kaziiendelee #kaziiendelee #matokeochanya #nchiyangukwanza #news #habari