Mke wa Mzee Sola, kwa kushirikiana na mtoto wake, walihusika kuuza eneo la mzee huyo bila ridhaa yake. Inadaiwa kuwa baada ya Mzee Sola kugundua jambo hilo na kuhoji uhalali wa uuzaji huo, alikumbana na vipigo vilivyomsababishia majeraha makubwa, na hatimaye ulemavu.
Amefika katika banda la utoaji huduma za masada wa kisheria Mkoani Arusha, na Sasa MSLAC Imesimama nae kisheria , ambapo inafuatilia kwa kina suala lake.