Skip to main content

MKOA WA KAGERA KUWA MKOA WA 25 KUPATA MSAADA WA KISHERIA - ESTHER MSAMBAZI

Submitted by admin on 12 April 2025

Mkurugenzi wa Huduma za Msaada wa Kisheria, Bi. Esther Msambazi, ametangaza kuwa Mkoa wa Kagera unakuwa mkoa wa 25 nchini kufikiwa na kampeni ya msaada wa kisheria.

Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea uzinduzi rasmi wa kampeni hiyo, Bi. Msambazi amesema kuwa lengo ni kuhakikisha wananchi wote, hasa wale wa kipato cha chini, wanapata elimu ya sheria na msaada bila gharama, ili waweze kutetea haki zao kwa njia sahihi.

📍 Uzinduzi: Bukoba – Uwanja wa Mayunga

📅 Tazama video kwa tarehe na ratiba kamili ya kampeni

🎥 Tazama kauli ya Bi. Esther Msambazi na ujue mafanikio ya kampeni hii katika mikoa mbalimbali.

🔔 Usisahau ku-subscribe, kupenda video, na kushare kwa wengine.

#esthermsambazi #msaadawakisheria #kampeniyakisheria #kagera #bukoba #mkoa25 #uwanjawamayunga #habaritanzania