Skip to main content

Mkoa wa Mwanza Wilaya ya Misungwi Kata ya Lubili Kijiji cha Ilalambogo kampeni ya msaada wa kisheria ya mama samia yawafikia wanafunzi wa shule ya msingi Ng’wakitolyo na ya Sekondari Lubili.