Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia iliyofanyika katika Viwanja vya Stendi ya Mabasi Manispaa ya Moshi.
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango @biteko
@katibanasheria_ @profkabudipjam @Victoria
.mwanziva @tanganyikalawsociety @boniface_a_k_mwabukusi