Dawati la msaada wa kisheria halmashauri ya wilaya ya Morogoro wamefanikiwa kushiriki kikao pamoja na mkuu wa idara ya maendeleo ya jamii ambacho kilikuwa na lengo la kuwajengea uwezo wana vikundi wote wa Kijiji cha Mvuha ili wawe na uelewa juu ya maswala mazima ya mikopo ya 10% na kuelimishwa juu ya uwepo wa Dawati la msaada wa kisheria kupitia kampeni ya msaada wa kisheria wa Mama Samia.
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya