Kila Mtanzania ana haki ya kupata usawa mbele ya sheria. Kupitia kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, wananchi wanapata elimu ya sheria, msaada wa kisheria bure na mwongozo wa namna ya kudai haki zao.
Usikate tamaa, haki yako ipo!
Wasiliana nasi: 0262160360
@mslegalcampaign
#HakiKwaWote #MsaadaWaKisheria #MamaSamiaLegalAid#katibanasheria #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #Nchiyetufahariyetu