Skip to main content

Msaada wa kisheria ni moja ya nyenzo muhimu kwa watu wanaokabiliana na migogoro ya ndoa

Submitted by admin on 5 November 2024

Migogoro ya ndoa inajumuisha changamoto kama vile ugomvi, kutofautiana kwa maoni, unyanyasaji wa kijinsia, masuala ya mali, na masuala ya malezi ya watoto. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM