- Kupunguza umasikini kwa kutoa mwongozo kuhusu masuala ya ajira, mikataba ya kazi, na fidia kwa wafanyakazi.
- Kujenga jamii yenye maarifa ya kisheria, hivyo kuongeza uwajibikaji na ustawi wa kijamii.
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Tanzania