Skip to main content

🇹🇿 MSAADA WA KISHERIA NI UKOMBOZI WA WAZI!

Submitted by admin on 19 April 2025

Dhamira ya kweli ya kuwakomboa Watanzania inadhihirika kupitia huduma za msaada wa kisheria bure kwa wananchi wa kawaida.  

Katika video hii, tunashuhudia jinsi Serikali inavyowafikia wananchi moja kwa moja mitaani, vijijini na mijini—kuwasikiliza, kuwashauri na kuwatatulia changamoto mbalimbali za kisheria zinazowakabili. Huu ni ukombozi halisi wa haki, usawa na utu!

🔔 Usisahau kusubscribe, kupenda (like), na kushiriki video hii ili Watanzania wengi zaidi wafikiwe na taarifa hii ya matumaini.  

#MsaadaWaKisheria #MamaSamia #HakiKwaWote #MSLAC #AwamuYaSita #UkomboziWaHaki #ChanyaTV