Msalaba Mwekundu unahamasisha jamii kujenga utamaduni wa ukarimu na kujitolea, hali inayoimarisha mshikamano na umoja wa kijamii.
Kwa kufanya kazi bila ubaguzi na kusaidia watu wote bila kujali tofauti zao, Msalaba Mwekundu unachangia kujenga na kuimarisha amani na utulivu katika jamii.
#NEMC #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #Sisinitanzania #Matokeochanya #MSLAC #trcs1962