Leo asubuhi tarehe 18.12.2024 maafisa dawati la huduma za msaada wa kisheria wakiambatana namkaguzi wa polisi na mkuu wa dawati la jinsia na watoto Bagamoyo, Walipata wasaa wa kuzungumza na watoto yatima juu ya haki za watoto na jinsi ya kukabiliana na ukatili wa kijinsia.