Skip to main content

"MSIOGOPE SHERIA, NDIYO MLANGO WA HAKI YENU"

Submitted by admin on 17 April 2025

-Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro,

Amewahakikishia wananchi wa Kagera kuwa huduma ya msaada wa kisheria ni bure na kwa ajili yao wote – maskini kwa matajiri.

@ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan @damasndumbaro_official @katibanasheria_ @mslegalaidcampaign @sisinitanzania

@tanganyikalawsociety   #mslac #kampeniyamsaadawakisheria #sheria #msaadawasheria #hakikwawote #katibanasheria #sheria #haki #hakinasheria #hakinawajbu #wakilimsomi #wakili #lawschool #tanganyikalawsociety