Skip to main content

MSLAC hutoa elimu juu ya sheria zinazohusu umiliki wa ardhi, aina za miliki ya ardhi, haki na wajibu wa mmiliki wa ardhi, na taratibu zinazohusiana na kupata hati miliki

Submitted by admin on 28 October 2024

Hii inasaidia kupunguza migogoro inayotokana na kutokuelewa haki na wajibu.

#MSLAC #Katibanasheria