Skip to main content

MSLAC IMEBEBA MFUMO UNAOSHUGHULIKIA MIGOGORO NA KUPUNGUZA KERO ZA KISHERIA KWA WANANCHI WALIO WENGI

Submitted by admin on 7 July 2024

Kampeni Hii ya msaada wa kisheria imebeba mfumo unaoshughulikia migogoro na kupunguza kero za Kisheria kwa Wananchi walio Wengi na Wasioweza Kughalamikia huduma za Kisheria! 

Kwa Sasa Kampeni Hii Ipo Ndani Ya SabaSaba , Karibu upate Huduma za Msaada wa Kisheria Bure! 

#MSLAC