Skip to main content

MSLAC inachukua hatua za kisheria dhidi ya wanaokiuka haki za warithi

Submitted by admin on 24 June 2024

Kukuza usawa na haki katika jamii, kuheshimu matakwa ya marehemu, kuzuia migogoro ya mirathi, na kusimamia mali kwa njia inayofuata sheria na haki za kila mmoja. #MSLAC #Ikulu #KaziIendelee #SSH #CCM