Skip to main content

(MSLAC) inatoa msaada wa kisheria kwa umma, ikiwemo elimu kuhusu mirathi. Kampeni hii husaidia kutoa uelewa kwa wananchi ili waweze kudai na kulinda haki zao katika masuala ya mirathi.