WKS Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema, "Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ni utekelezaji wa dhamira ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha Taifa lina Haki na Amani." #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango @biteko
@katibanasheria_ @profkabudipjam @Victoria
.mwanziva @tanganyikalawsociety @boniface_a_k_mwabukusi