Maafisa maendeleo ya jamii dawati la msaada wa kisheria Masasi Mji wakitoa elimu ya msaada wa kisheria kijiji cha mkapunda B kata ya sululu Halmashauri ya mji masasi. #katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya