Maafisa dawati la msaada wa kisheria wilaya ya sikonge mkoani Tabora wamefanikiwa kutoa elimu ya msaada wa kisheria kwenye kijiji cha igalula kata ya sikonge kwa viongozi wa ngazi tofauti tofauti za kijiji na viongozi wa kimila kwenye maswala mazima ya misingi ya utawala bora pamoja na haki za binadamu kutokana na adhabu ya kuchapwa fimbo zilizo kuwa zinatolewa na sungusungu wa kijiji hicho kwa wanakijiji wanao kaidi na kuchelewa kufka kwenye mikutano hiyo.
@samia_suluhu_hassan @kassim_m_majaliwa
@hakingowinews @katibanasheria_ #sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #samiasuluhu #ssh #sisinitanzaniamakini #sisinitanzania #tanzaniabora #millardayo #updates #news #habari #habarimpya