Elimu ya msaada wa kisheria juu ya ukatili wa kijinsia, Ardhi,mirathi na wosia imewafikia wananchi wa kijiji cha mwengemtapika,kata ya mwengemtapika halmashauri ya mji masasi.
#katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya