Skip to main content

MSLAC NA WIZARA YA ARDHI WATOA HATI PAPO KWA PAPO, WATU WAPEWA HAKI ZAO BILA MALIPO- DAR, MBAGARA

Submitted by admin on 20 June 2025

MSLAC kwa ushirikiano na Wizara ya Ardhi wametoa hati za viwanja bure kwa wananchi Mbagala, Dar es Salaam. Huduma hii imesaidia watu kupata haki zao za ardhi haraka na bila malipo yoyote. Tazama tukio hili muhimu!