Maafisa maendeleo ya jamii pamoja na maafisa msaada wa Kisheria Wilaya ya Dodoma Mjini katika Mkutano wa Wananchi Kata ya Mkonze Mtaa wa Bwawani wakitoa elimu kuhusu Ukatili wa kijinsia pia kutoa elimu kuhusu Msaada wa Kisheria na kuwaeleza juu ya uwepo wa dawati la msaada wa kisheria wamefurahia juu ya uwepo wa dawati hili katika kutatua changamoto Za Kisheria katika jamii. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @IkuluMawasiliano