Skip to main content

MSLAC NDANI YA HALMASHAURI YA MJI WA BABATI, KATA YA BAGARA

Submitted by admin on 19 December 2024

Image

Jana tarehe 18.12.2024 Mbunge wa Halmashauri ya Mji wa Babati(Hon. Pauline Philipo Gekul) na MaAfisa maendeleo ya Jamii,Dawati la Msaada wa kisheria wakiendelea kutoa Elimu kwa Vikundi vya akina Mama pia Elimu ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ilitolewa vema na kuwapatia vipeperushi kwa ajili ya mawasiliano zaidi. Mslac inaibua mengi, Haki Itendeke. #KaziIendelee #Mslac @Sheria_Katiba@sisiniTanzania