Skip to main content

MSLAC NDANI YA KIBITI

Submitted by admin on 20 February 2025

Image

Mslac imefanikiwa kutoa elimu ya msaada wa kisheria ya mama Samia kwa vikundi vya mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya halmashauri katika kata ya Mtunda, halmashauri ya wilaya ya kibiti, Mkoa wa Pwani wakati kamati ya mikopo ya halmashauri ilivyokuwa inakagua miradi ya wanavikundi na kutoa Elimu kwa kina juu ya Msaada wa kisheria.

Image

Image

#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya