Skip to main content

Mslac nyumba kwa nyumba

Submitted by admin on 13 December 2024

Afisa dawati la huduma za msaada wa kisheria halmashauri ya wilaya ya Iramba-Singida wamtembelea mwananchi nyumbani kwao Ruruma-kiomboi na kumsikiliza changamoto iliyokuwa inamkumba.

@Sheria_Katiba