Skip to main content

MSLAC YAMFUTA MACHOZI MJANE HUYU !!! FARAJA KWA WAJANE WANAOPITIA CHANGAMOTO ZA MIRATHI.

Submitted by admin on 17 February 2024

sheria za mirathi nchini Tanzania zinalenga kuhakikisha haki sawa na haki za kibinadamu katika mchakato wa mirathi. Hii ni pamoja na kutoa kinga kwa wanawake, kushughulikia migogoro, na kuhakikisha kuwa mchakato wa kurithi unafanyika kwa haki na kwa mujibu wa sheria.