Skip to main content

MSLAC YAMREJESHEA MAMA HAKI YA KUONANA NA WATOTO WAKE BAADA YA MUDA MREFU WA MACHUNGU.

Submitted by admin on 20 June 2025

Mama aliyenyimwa haki ya kuwaona watoto wake kwa muda mrefu baada ya kuachana na mumewe, hatimaye apata faraja kupitia msaada wa kisheria kutoka MSLAC. Tazama jinsi haki ilivyotendeka!