Wanafunzi wa shule ya sekondari ya kutwa kusini iliyopo kijiji cha lidumbe shuleni kata ya mcholi halmashauri ya mji newala wafikiwa na kupewa elimu ya msaada wakisheria ya Mama samia Legal Aid campaign.
#katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya