Mwananchi aliyeguswa na huduma za msaada wa kisheria zinazotolewa na Samia Legal Aid Campaign (MSLAC). Mwananchi huyu anatoa maoni ya wazi kuhusu umuhimu wa elimu ya kisheria kwa jamii na anasisitiza haja ya huduma hizi kuwa endelevu kwa manufaa ya wananchi wote – hususan wale wa kipato cha chini.
MSLAC imekuwa msaada mkubwa kwa wananchi kwa kutoa elimu kuhusu:
⚖️ Haki za ardhi
⚖️ Urithi na ndoa
⚖️ Ukatili wa kijinsia
⚖️ Mikataba ya ajira
⚖️ Njia mbadala za utatuzi wa migogoro (upatanisho, usuluhishi n.k.)
Usikose kutazama video hii ya kusisimua na yenye kuelimisha.
Tafadhali LIKE 👍🏽, SHARE 📲 na SUBSCRIBE 🔔 kwa taarifa zaidi kuhusu huduma za msaada wa kisheria nchini Tanzania.
#MSLAC #MsaadaWaKisheria #Mbagara #HakiKwaWote #SamiaSuluhu #SioNdotoTena