Skip to main content

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi amezindua Kliniki ya Ushauri na elimu ya Sheria

Submitted by admin on 26 June 2024

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi amezindua Kliniki ya Ushauri na elimu ya Sheria kwa Umma inayokusudia kusogeza huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi ili kupunguza migogoro dhidi ya Serikali na kupata suluhu ya changamoto.  #MSLAC #Katibanasheria