Skip to main content

Mwitikio Mkubwa wa Wananchi Katika Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Mkoa wa Rukwa.

Submitted by admin on 28 February 2025

Wananchi wa Mkoa wa Rukwa wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, wakionesha shukrani na pongezi kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea huduma hii muhimu inayolenga kuwapatia haki na uelewa wa masuala ya kisheria.

Image

@mslegalaidcampaign @ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan #haki #mslac #samia #samianahaki #sheria #katibanasheria #sisinitanzania