Skip to main content

NCHI HUONGOZWA KWA SHERIA NA SI KWA HISIA ZA WATU BINAFSI.- KHAMIS ABDALA ALLY

Submitted by admin on 15 May 2025

✅ Umuhimu wa elimu ya sheria kwa mwananchi wa kawaida

✅ Jinsi MSLAC inavyobadilisha maisha ya Watanzania kupitia msaada wa kisheria

✅ Hatua za kujijengea ujasiri wa kudai haki yako

✅ Kwa nini katiba ndiyo dira ya taifa, si matakwa ya mtu binafsi

💬 Usikose kuchangia maoni yako, subscrib(e) ili kupata taarifa zaidi kuhusu haki, sheria na maendeleo ya kweli!

#MSLAC #HakiNiUjasiri #KatibaKwanza #SheriaSiHisia #MamaSamiaLegalAid #TanzaniaYetu