Maafisa maendeleo wa dawati la msaada kwa kushirikiana na watumishi wa halmashauli walishiriki maadhimisho ya siku ya Wanawake, ambayo kiwilaya yalifanyika ngerengere ndani Ya halmashauli Ya wilaya Morogoro, na pia walifanikiwa kutoa elimu Ya msaada wa kisheria kwa washiriki wote waliokuwepo
Maadhimisho haya yalikuwa na kauli mbiu isemayo WANAWAKE NA WASICHANA TUIMARISHE HAKI, USAWA NA UWEZESHAJI
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya