Wananchi walipata kujuzwa juu uwepo wa dawati hilo la msaada wa kisheria ndani ya Halmashauri yao na namna linavyotenda kazi,nakupitishwa kwenye mada mbali mbali kama vile,Sheria ya Ardhi, Sheria ya ndoa, Mirathi na wosia, Ukatali wa kijinsia, utatuzi wa migogoro pamoja na haki za watoto.