📢 Padre Apata Haki! | Msaada wa Kisheria wa Mama Samia Wamrejeshea Eneo Lake
Padre mmoja aliyedhulumiwa eneo lake hatimaye ameweza kurejeshewa haki yake kupitia huduma ya msaada wa kisheria ya Mama Samia inayoendelea mkoani Arusha. 🌍⚖️
Katika juhudi za kuhakikisha haki inapatikana kwa wote, huduma hii imeendelea kuwasaidia wananchi waliokumbwa na changamoto za kisheria bila gharama yoyote. Kupitia msaada huu, Padre huyo sasa anaweza kutumia eneo lake kwa malengo aliyokusudia.
Tazama video hii kujifunza zaidi kuhusu namna msaada wa kisheria unavyobadilisha maisha ya Watanzania! 🇹🇿✨
🔔 Usisahau ku-LIKE, KU-COMMENT, na KUSHARE ili kueneza ujumbe huu muhimu!
#MsaadaWaKisheria #MamaSamia #HakiKwaWote #Tanzania #LegalAid