Skip to main content

Serikali kuhakikisha haki za wananchi zinahifadhiwa na kulindwa. MSLAC inashirikiana na taasisi za kiserikali na mashirika mengine ili kuhakikisha kuwa haki za waathiriwa wa unyanyasaji zinalindwa na wahalifu wanawajibishwa kwa mujibu wa sheria.