Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi ili kupata huduma hii bure na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote. Kampeni hii ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuhakikisha upatikanaji wa haki kwa wananchi.
@ikulu_mawasiliano @ikulu_habari @samia_suluhu_hassan @kassim_m_majaliwa @biteko
@airtanzania_atcl @arusha_nationalpark #sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #samiasuluhu #ssh #sisinitanzaniamakini #sisinitanzania #tanzaniabora #millardayo #updates #news #habari #habarimpya #news