Sheria ndiyo dira inayotuweka kwenye mstari wa haki na utaratibu. Bila sheria, jamii ingekosa mwongozo na usawa. Tushirikiane kuzijua, kuziheshimu na kuzifuata kwa pamoja ili kujenga taifa lenye amani na mshikamano.
Kwa msaada wa kisheria piga: 0262160360
Fuata kampeni yetu kwa elimu zaidi:
@mslegalcampaign #MsaadaWaKisheria #MamaSamiaLegalAid #SheriaNiMwanga #HakiKwaWote #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #Nchiyetufahariyetu #tanzania #SSH #kazinaututunasongambele #matokeochanya