Skip to main content

πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ πŸ”΄SIKU YA SABA: WANANCHI WANAENDELEA KUNUFAIKA NA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA - MKOANI ARUSHA

Submitted by admin on 7 March 2025

Kampeni ya msaada wa kisheria inaendelea kwa siku ya saba mkoani Arusha, ikiwa ni juhudi za kusaidia wananchi kupata elimu ya haki zao na msaada wa kisheria bila malipo. Wananchi wengi wamejitokeza kunufaika na huduma hizi muhimu, wakipata ushauri wa kisheria kutoka kwa wanasheria na wataalam wa haki za binadamu.

Jiunge nasi katika safari hii ya kuelimisha na kusaidia jamii! Usisahau kufuatilia, kupenda, na kushiriki video hii ili kuwafikia wengi zaidi.

πŸ”” Subscribe kwa habari zaidi!

πŸ“ Arusha, Tanzania

#MsaadaWaKisheria #Arusha #HakiKwaWote #LegalAidCampaign #samia