Skip to main content

TANGAZO MAALUM KWA WANA ARUSHA! 📢

Submitted by admin on 28 February 2025

👉 Huduma ya Msaada wa Kisheria BURE inakuja kwa nguvu! 

Unakabiliwa na changamoto za kisheria kama migogoro ya ardhi, mirathi, ndoa, ajira, ukatili wa kijinsia, mikataba, au kesi za jinai? 🤔 

  MSLAC (Samia Legal Aid Campaign) inakuletea Msaada wa Kisheria BURE siku ya Ijumaa, Tarehe 01 Machi 2024

 📆  Katika viwanja vya Sheikh Amri-Abed.

✅ Wanasheria na wataalamu wa sheria watakushauri na kukusaidia BILA MALIPO!  

✅ Tambua haki zako na jinsi ya kuzitetea!**  

✅ Jifunze njia bora za utatuzi wa migogoro bila kwenda mahakamani!

  ⚖️Usikose fursa hii adhimu ya kupata haki yako bila gharama! Pata msaada wa kisheria—Tujenge jamii yenye haki na usawa! 

#MSLAC #MsaadaWaKisheriaBure #HakiKwaWote @ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan

@damasndumbaro_official @katibanasheria_ #mslac #mslactanzania #katibanasheria #msaadawasheria #Mbeya