Skip to main content

Tangu kuzinduliwa kwa kampeni hii, Wizara ya Katiba na Sheria imeripoti kuwa jumla ya wananchi milioni 1.386656 wamefikiwa na huduma za msaada wa kisheria nchini kote