Skip to main content

Timu ya MSLAC imefanikiwa kufika katika soko la kariakoo lililopo kata ya nzega mjini magharibi kutoa elimu ya Msaada wa kisheria na kisha wenye changamoto zao kupewa ushauri na huduma stahiki za kisheria