Skip to main content

TUNASHUKURU KWA ELIMU HII YA MSAADA WA KISHERIA, KUNA MAMBO MENGI YANATUPITA TUKIWA KIJIJINI

Submitted by admin on 14 March 2025

📢 “Tunashukuru kwa elimu hii ya msaada wa kisheria, kuna mambo mengi yanatupita tukiwa kijijini, kuna manyanyaso mengi tunapitia na hatujui ni wapi tutakimbilia. Ila kupitia elimu hii, tunaona mwanga wa haki!”  

Katika video hii, wananchi wanashuhudia jinsi elimu ya msaada wa kisheria inavyobadili maisha yao kwa kuwawezesha kujua haki zao na mahali pa kupata msaada wa kisheria. Kupitia kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), jamii inapata mwongozo kuhusu sheria za ardhi, mirathi, ndoa, kesi za jinai, na haki za ajira.  

🇹🇿 MSLAC inalenga kuhakikisha kila mwananchi anapata haki bila vikwazo!  

✔️ Je, unahitaji msaada wa kisheria? Tafadhali wasiliana nasi au fuatilia video hii kwa maelezo zaidi!  

📌 Usisahau ku-LIKE, COMMENT, na SUBSCRIBE kwa taarifa zaidi kuhusu msaada wa kisheria!  

#MSLAC #MsaadaWaKisheria #HakiKwaWote #SamiaLegalAid